Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila anazidi kupokea shinikizo kimataifa
kutokana na hatua ya kukataa kuachia maamlaka baada ya muhula wake wa
kikatiba kukamilika jumatatu.
Ufaransa imesema itatuma ombi kwa umoja wa ulaya la kumwekea vikwazo iwapo ataendelea kushikilia maamlaka.Ujerumani imehairisha majadiliano ya kuipa DR Congo msaada wa miradi ya maendeleo.
Uchaguzi mkuu ulioratibiwa kufanyika mwaka huu, uliharishwa hadi mwaka 2018
chanzo- bbc
0 maoni:
Chapisha Maoni