January 6 2017 msanii wa Bongofleva Ben Pol aliachia rasmi wimbo wake mpya aliyoshirikiana na Mr Eazi wa Nigeria, Ben Pol na Mr Eazi wamefanya collabo ya wimbo unaitwa ‘Phone’ producer akiwa ni Tiddy Hotter.
Ben Bol ameeleza sababu za kufanya wimbo na Mr Eazi kuwa ni kujenga fan base upande wa Afrika Magharibi.
Lakini kwa upande mwingine baada ya wimbo huu kutoka pRoducer mwingine kutoka Kenya wa kuitwa SAPPY ALie fanya XO Ya Joh Makini, alidai idea ya wimbo huo ni yake na walishafanyia kazi so Ben Pol na Tiddy Hooter wamemwibia mdundo nao kiitikio cha wimbo wa PHONE.
Kupitia kipindi KEYBASE cha keyfm radio kwa upande wake Tiddy Hooter anadai "Sappy anatafuta kiki tu na hata hizo video fupi anazo zisambaza anaonekana akiwa offin kwangu na kama wadogo zangu huwa nawaachia wanachezacheza pale studio"








0 maoni:
Chapisha Maoni