Pages

Jumanne, 31 Januari 2017

Pharrell Williams na mkewe wapata mapacha watatu

Mwanamuziki na mtayarishaji maarufu wa Marekani, Pharrell Williams na mkewe, Helen Lasichanh wamepata mapacha watatu.

Image result for pharrell william get three baby

Watoto hao wamezaliwa mapema mwezi wa January, kwa mujibu wa ripoti ya Vanity Fair. “Pharrell, Helen and Rocket Williams have welcomed triplets. The family is happy and healthy!” alisema msemaji wa mwanamuziki huyo.

Hakuna taarifa za jinsia na majina ya watoto hao zilizotolewa. Williams na Lasichanh, waliofunga ndoa October 2013, tayari wa mtoto wa kiume mwenye miaka minane aitwaye, Rocket Ayer.


Lasichanh, mlimbwende na mbunifu wa mitindo na Williams, 43, walikuwa pamoja kwa miaka mingi kabla ya kufunga ndoa.

 



0 maoni:

Chapisha Maoni