Akiongea na keyfm radio kupitia kipindi cha KEYBASE, ANGELMARRY alikiambia kipindi hicho sababu ya kuja kwa namna nyingine.
"NO STRESS ni wimbo ambao wa dance hall so naipenda sana muziki huo pia ni aina ya muziki ambao nishaimba hata kwenye mashindano ya BSS kama mara moja na tangu hapo nikawa nimepata vibe fuani hiv na nikasema iwe kama kitambulisho changu so ndio maana nikaamua kuchagua dance hall cause hata nikiimba kunamzuka fulani hivi na kuna uhai ndani yake"
msanii huyo pia amezungumzia kilichomfanya kua kimya tangu kuisha kwa mashindano hayo ni pamoja na kutulia kutafuta Brand yake kwani iliaminika ana style ya kumuiga nick Minaj hivyo alitulia mpaka kupata style yake ya muziki yeye mwenyewe kama Angelmarry.
"nimechukua muda kuingia kwenye game cause BSS tunaimba nyimbo za watu tunamvaa msanii na ndio maana watu wanasema Angel unaimba kama nick minaj so sikutaka kuingia kwenye game kama nick so ikabidi nitafute kitambulisho changu vibes na swagg zangu so inatake time mtu kujifaam na kutoka kwa style yangu kama mimi".
Angel Merry ni moja ya wanamziki walio anza vizuri mwaka 2017 kwa kuachia ngoma kali, ISIKILIZE HAPA CHINI
0 maoni:
Chapisha Maoni