Kanye West amefuta twitt zote za kumuhusu Trump nakusema hana furaha na rais huyo kutokana na utendaji wake wa kazi kwa wiki hizi za mwanzo tangu akalie kiti hicho.
Kanye alikuwa akipost vitu chanya vya kumuhusu Trump baada ya uchaguzi .
Kanye baada ya kukutana na Trump December mwaka jana ndani ya Trump tower, "I feel it is important to have a
direct line of communication with our future President if we truly want
change."
aliandika kanye
0 maoni:
Chapisha Maoni