TETESI ZA USAJILI ULAYA 27.2.2017
- Arsenal wanamtaka kinda wa Manchester City Jadon Sancho, dogo huyo alisajiliwa kutokea Watford mwaka 2015 kwasasa yupo katika Academy ya Manchester City. Moja kati ya Scout wa wachezaji wa Arsenal Rowley amekuwa akikomaa kuhakikisha wanamasa dogo ( The Sun)
- Hector Bellarin amesema kama ataondoka Arsenal ataelekea zake Manchester City kauli inakuja mara baada ya Barcelona kusema watasajili mchezaji kutoka kwenye academy yao kwa nafasi ya beki wa kulia, Bellarin alisema kama Wenger ataondoka basi naye atarudi zake Barcelon (Daily Star)
- Everton wanaamini watawazidi Chelsea katika Issue ya kumsajili beki wa kati raia wa Uingereza Michael Keane majira ya Kiangazi, Everton wanamtaka wakati huo huo Chelsea wanamkodolea Macho (The Sun)
- Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa anajipanga kuongeza wachezaji wawili mpaka watatu tu katika usajili wa majira ya joto (Independent
0 maoni:
Chapisha Maoni