Pages

Jumatatu, 19 Desemba 2016

DARASA ANADAIWA PESA YA UKUMBI NA MUZIKI- G LUCK


Msanii wa kizazi  kipya G-LUCK  ambae anafanya  vizuri  na wimbo wake wa "imani" uliotoka  mapema  mwaka  huu aliomshirikisha Baraka de Prince, amedai moja ya  vitu ambavyo  hata kuja  kusahau  kwa  Darasa ni vile Darasa alivyoshindwa kulipia ukumbi na muziki Huko Nyasa.

wakati  akipiga  stori na Mamy cute na Prince walter Ndani ya kipindi cha  keybase ya keyfm  mapema wiki iliyopita G-Bahati alisema "ukimzungumzia Darasa saizi nimtu mwingine  kabisa , Darasa nakumbuka  kitukimja  niikuwa na show na NEY mitego  Nyasa  so tulifika kule tulikuta  Darasa anadaiwa amefanya show so watu hawakujaa akawa anadaiwa pesa  ya ukumbi nusu  na pesa ya muziki,  ila  naamini saizi watu wa nyasa wanatamani darasa aende tena  Nyasa"

HII NDIYO  FULL INTERVIEW YA G-BAHATI  NA KEYBASEE 

0 maoni:

Chapisha Maoni