Tuzo za muziki kutoka nchini Nigeria “HEADIES2016” zimetolewa usiku wa kuamkia leo December 23, 2016 na tayari wametangazwa washindi wa jumla kwenye tuzo hizo.
Sasa kama ulikuwa hujajua, jina la star muimbaji wa muziki kutoka nchini humo Tekno Miles lilimeondolewa kwenye list ya wasanii wanaowania tuzo ya msanii anayechipukia baada ya Tekno kuikataa.
Hivi karibuni kupitia instagram yake, star huyo wa single ya Pana, aliandika maneno ya kuonesha kutofurahia kutajwa kwenye kipengele hicho kwa madai kwamba yeye sio msanii chipukizi kwasasa hivyo kumta kwenye category hiyo ni kumshusha na kumdharau.
Kupitia barua ya waandaaji, wamemjibu Tekno kuwa wamefanyia kazi maoni yake na hivyo kamati ya tuzo ilimeamua kuliondoa jina lake kwenye tuzo hizo na ikasainiwa na mtayarishaji mkuu kutoka Headies Ayo Animashaun.
Full List ya washindi wa tuzo hizi.
2. Final ( Baba Nla ) – Wizkid
3. Fada Fada – Phyno Feat. Olamide
4. Money – Timaya Feat. Flavour
5. Reggae Blues – Harrysong Feat. Orezi, Iyanya, Olamide, Kcee – WINNER
6. Osinachi – Humble Smith Ft. Davido
7. Emergency – D’banj
2. Aramide Feat. Adenkule Gold – Love Me
3. Omawumi Feat. Angelie Kidjo – Play na Play
4. Seyi Shay – Right Now
2. Wanted – Wande Coal
3. Naked – Darey
4. Klitoris – Brymo
5. New Era – Kiss Daniel – WINNER
2. Chukwu Agozi Gogi – Ill Bliss
3. Agu Ji Ndi Men – A-Q
4. Asamalekun – Reminisce
5. Jagaban – YCEE
6. Show You Something – Boogey
2. Brymo – Something Good Is Happening
3. Wande Coal – Super Woman
4. Shaydee – Smile – WINNER
5. Ric Hassan – Gentleman
2. Olowo – Cynthia Morgan
3. Jaga LOVE – JESSE JAGZ
4. No Kissing – Patoranking Ft Sarkodie – WINNER
5. TIMAYA – I LIKE THE WAY
6. PAM PAM – KETCHUP
2. SMALL DOKTA – GBERA
3. 2T BOYS – CUSTOMER DADA NI
4. YCEE – JAGABAN
5. KOKER – KO LE WERK
6. Olamide – Who You Epp – WINNER
2. Soldier ( Falz Tha Bad Guy ) – Clarence Peters – WINNER
3. Emergency ( D’BANJ ) – Unlimited LA
4. Made For You – Banky W.
5. Mary ( Seyi Shay ) – Meji Alabi
2. Osinachi – Humblesmith Feat. Davido
3. No Kissing – Patoranking Feat. Sarkodie
4. Reggae Blues – Harry Song Feat. Orezi, Iyanya, Olamide, KCEE
5. Wait – Solidstar Feat. Tiwa Savage
6. Money – Timaya Feat. Flavou
2. Stories That Touch – Falz
3. Powerful – Ill Bliss – WINNER
4. Lil’ Kesh – Yagi
2. Mastakraft – FADA FADA, CONNECT – ( Phyno )
3. Young John – MAMA – ( Kiss Daniel ) – WINNER
4. DJ Coublon – GOOD TIME & RABA
5. Oscar Herman – Ackah – PRAY FOR ME – ( Darey )
6. Legendury Beats – FINAL & BABA NLA ( Wizkid )
2. Modenine – No Matter What
3. Boogey – Show You Something
4. Ill Bliss – Chukwu Agozi Gogi – WINNER
5. A-Q – Agu Ji Ndi Men
6. Reminisce – Asamalekun
Aramide
Humble Smith
Mr. Eazi – WINNER
2. Runtown – Ghetto University
3. Seyi Shay – Seyi or Shay
4. Kiss Daniel – New Era – WINNER
2. Orente – ADEKUNLE GOLD
3. Pray For Me – Darey Feat. Soweto Choir – WINNER
4. Something Good Is Happening – BRYMO
5. Love Don’t Care – SIMI
2. You Suppose Know – Bez – WINNER
3. Pick Up – Adenkule Gold
4. Wait For Me– Johhny Drille
5. Gentlemen – Ric Hassan
2. Super Woman – Wande Coal
3. Smile – Shaydee
4. Love Don’t Care – Simi
5. Pray For Me – Darey – WINNER
6. Aduke – Tjan
2. Stories That Touch – Falz
3. Seyi Or Shay – Seyi Shay
4. Ner Era – Kiss Daniel – WINNER
2. FINAL (BABA NLA) – WIZKID
3. PICK UP – ADEKUNLE GOLD
4. REGGAE BLUES – HARRYSONG FT. OLAMIDE, KCEE, IYANYA
5. FADA FADA – PHYNO FEAT. OLAMIDE – WINNER
2. TIWA SAVAGE
3. Wizkid – WINNER
4. Yemi Alade
5. FALZ
2. DJ MAPHORISA
3. SAUTI SOL
4. SARKODIE
5. CASPER NYOVEST
0 maoni:
Chapisha Maoni