Ni siku chache toka habari kuripotiwa kwenye Magazeti kwamba msanii wa TipTop Connection Tunda Man amejiondoa kwenye kundi hilo baada ya kuona mambo hayaendi.
Tunda Man alihojiwa na kusema ‘kiukweli
mimi na Tale hatuko sawa, kosa silijui…. labda kuna kitu nimemkosea au
ameamua tu kukasirika na hii kuwa mbali na Boss wangu kwenye kazi zangu
ninazozifanya mwenyewe tu inauma, najutia kuwa mbali na Babu Tale‘
Kupita AYOTV Babu tale alijibu baadhi ya shutuma na kusema hana bifu na TUNDA " NIMEONA KWENYE MTANDAO NA MI SINA TOFAUT NA TUnda hata videO yake nimeiona kwenye mtandao ndio nikaichukua alafu nikaipost then nikaisifia ndipo nae akaniuiza bosi unaludi lini nkamwambia nipo naludi wiki hii ndipo nikamuuliza wimbo unata lini akasema wiki ijayo nikamwa mbia good lucky nikamaliza, sasa nikiona mtu ameandika hivyo labda kunakitu anafuta ila sinatatizo na tunda aangalie amejikwaa wapi na sio ameangukia wapi"
Tale amejibu pia ishu ya kwamba wamebezi na Diamond tu wengine wamewekwa benchi tuu
"mi mfanya bihashara madee anafanya kazi akiwa wapi na leo kaenda kupumzika ulaya kwa pesa ya mziki inayotoka tip top, leo dogo Janja anafanya vizuri yupo chini ya madee na madee yupo chini yangu, sasa yeyye anataka kutoa wimbo ajanishirikisha sasa mimi nifanyaje" aisema Tale.
"asimame kwenye msimamo wake sinachuki nae ajanishirikisha afu anaongea kwa watu anataka kuona watu wanampkeaje au watu wata nichukuliaje ila nishazea kusemwa maana kuna wasanii walisha imba wimbo wa kunitukana mimi sijali"
kwa upande wake Tale anasema hajapata kuonana na Tunda tangu Tunda apate jiko.
0 maoni:
Chapisha Maoni