Siku chache zimebaki kabla ya kuumaliza mwaka wa 2016 najua kiwashe pia ni moja ya ngoma iliyofanya vizuri kwa mwaka 2016, sasa leo nimekusogezea stori kuhusu ngoma hiyo.
ABUU SHAMFA ndio aliefanya hit hiyo licha baadhi ya mashabiki kudai mkali huyo anasuond kama mkali wa hit ya MUZIKI yaani Darasa.
December 20 kupitia kipindi cha Radio cha KEY BASEE katika VUNJA GLASS ya Chriss Vituko Shamfa aliamua kuweka wazi kuhusiana na madai hayo ya mashabiki. "sifanyi kama Darasa mimi ninanjia zangu ninazofanya labda kwasababu producer ninae mtumia nae pia anamtumia au abda maadhi ya beat yanaendana basi ndio maana wanasema hivyo"
shamfa ameongeza "ila mashabiki wangu mkaetayali tu kupokea video ya wimbo huu inakuja mapema January na pia mkaetayari kwa kazi nyingine ya kibabe baada ya hii ya KIWASHE"
0 maoni:
Chapisha Maoni