Eric Omondi ni
mchekeshaji ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi
ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia
amekuwa na utundu wa kuziigiza na kuzirudia nyimbo za mastaa mbalimbali.
Time hii kairudia sehemu ya movie ya ‘Sarafina’, katushirikisha nasisi tuitizame hapa...
0 maoni:
Chapisha Maoni