Pages

Jumapili, 25 Desemba 2016

VIDEOMpya: Lameck “Ditto” ameachia video ya wimbo wake “Moyo Sukuma Damu”

Baada ya kufanya vizuri na audio yake kwenye radio mbalimbali,  Lameck Ditto a.k.a Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya “Moyo Sukuma Damu” ambayo imeongozwa na director Travellera kutoka Kwetu Studio.

ITAZAME HAPA

0 maoni:

Chapisha Maoni