Wachezaji wa Huddersfield Town wakishangilia na taji lao la mechi ya mchujo ya Championship kuwania kupanda Ligi Kuu England baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 leo Uwanja wa Wembley,
London. Liam Moore alipaisha mkwaju wake kabla ya Danny Ward kuokoa penalti ya Jordan Obita na pamoja na kipa Ali Al-Habsi kuokoa tuta la Michael Hefele, haikuzuia Huddersfield Town kurejea Ligi Kuu mwa mara ya kwanza tangu mwaka 1972
0 maoni:
Chapisha Maoni