Pages

Jumamosi, 7 Januari 2017

ALIKIBA AMEANZA MWAKA KWA TOUR ZA NJEE NA HAPA KATAJA NCHI ANAYOANZA NAYO

Image result for alikiba picha
Muimbaji staa wa bongofleva Alikiba  January 06 2017 ametumia ukurasa wake wa instagram kueleza mpango wake wa kuanza tour ya muziki nje ya nchi. Alikiba amesema kwa mwaka 2017 ataanza na Afrika kusini.
Post hiyo pia ilisindikizwa na maneno yaliyoashiria kuwa Alikiba ana mpango wa kufanya Tour kwenye mataifa mengi nje ya Afrika kwa mwaka 2017, kwa hiyo tutarejea atataja nchi nyingine ambazo atafanya tour hivi karibuni.
alikiba-4

Manager wa Alikiba pia, Seven Mosha alipost kuhusu tour  hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram
seven-mosha

0 maoni:

Chapisha Maoni