Rais mpya wa Ghana ataapishwa hii
leo, katika taifa ambalo limetajwa na wengine kama lenye kiwango bora
zaidi cha Demokrasia Barani Afrika.
Karibu viongozi 11 wa mataifa ya Afrika wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hiyo, ambako hali ya usalama tayari imeimarishwa.
Baada ya kuapishwa kwake, viongozi wa Afrika watajadiliana jinsi ya kuhakikisha kuwa Rais wa Gambia Yahya Jamme anakubali kuwa alishindwa katika Uchaguzi Mkuu uliopita.






0 maoni:
Chapisha Maoni