Najua sio mgeni kwa mwimbaji kama chris Brown kumuona akirap ila ni ngumu kupata kusikia rapper Soulja Boy akiimba kama umemsikia basi atakuwa ni drake huyo?Hmm.
Anyway, tuachane na hayo ila stori ni kwamba Chris Brown hajapenda kitu kilichotokea kwa Soulja Boy baada kulike picha iliyopostiwa na
Karrueche kwenye Instagram yake .
kwa mujibu wa Soulja anadai alipigiwa simu na Chris na kutishiwa kupigwa endapo ataendelea kulike na kuwasiliana na Karrueche.
na hapo ndipo beef lilipo chanua na soulja boy akaandika kupitia twitter
lakini kupitia instagram pia ali post video fupi alisikika akisema ‘kisa ulimpiga Rihanna unadhani unaweza kumpiga kilamtu, mimi nitakupiga"
Chris Brown alitumia ukurasa wake wa
Instagram kumwambia Soulja boy aache unafiki, aache kuongelea stori za
Rihanna kwasababu huu ni mwaka mwingine hayo mambo yalishapita na kama
vipi yeye ataandaa mchuano wapigane kabisa kama ndicho anachotaka.
lakini wakati ishu hizo zina endelea za beef na soulja boy kuhusu mrembo Karrueche, mapema 3January 2017 Breezy amejibu kwa kuachia ngoma nyingine tena.
CB ameunganisha nguvu na kundi la OHB ambapo ndani yake kuna Young Lo na Young Blacc ngoma inaitwa ‘500 Wayz’ na hapa Chriss ameonesha tena uwezo mkubwa alio nao wa kurapp. download hapa chini
0 maoni:
Chapisha Maoni