January 20 ndio siku ya kuapishwa kwa Rais wa Marekani ambaye alichaguliwa mwishoni mwakajana licha ya kuwa na vikwazo vingi kutoka sehemu mbalimbali akiwemo Rais Obama.
Licha wasanii kupewa nafasi ya kutumbuiza katika sherehe hizo lakini kila mmoja ameonekana akichenga mchongo huo na Inaonesha wanamuziki karibu wote hasa weusi hawapo tayari.
Ni mwimbaji mmoja tu ane itwa REBECCA FURGASOAN ndie alie onesha nia ya kuwepo na kutumbuiza katika sherehe hizo .
"If you allow me to sing ‘strange fruit’ a song that has huge
historical importance, a song that was blacklisted in the United States
for being too controversial,”
“A song that speaks to all the disregarded and down trodden Black
people in the United States. A song that is a reminder of how love is
the only thing that will conquer all the hatred in this world. Then I
will graciously accept your invitation and see you in Washington.” Alisema
0 maoni:
Chapisha Maoni