Mapema wiki hii kuna barua ambayo inasambaa katika mitandao mbali mbali ambayo imeandikwa na Rais mstaafu wa Marekan GEORGE HW BUSHI akieleza yakuwa hatoweza kuhuzuria katika sherehe hizo zitakazofanyika January 20kutkana na kuwa chini ya uwangalizi wa Daktari.
Mr Bush mwenye umri wa miaka 92 amesema hayupo sawa kiafya kwa mwezi huu.
"My doctor says if I sit outside in January, it likely will put me six feet under." aliandika Rais huyo wa 41 wa Maerekani
0 maoni:
Chapisha Maoni