1. Kuboronga katika Mechi ya West Ham vs Manchester United ( hapa alimlima kadi nyekundu kimakosa kiungo wa West Ham-Soufianne Feghouli,...kadi hii ilifutwa na FA baadae.
2. Alimtisha Mchezaji wa West ham- Pedro Obiang kwamba atampiga Re Card kwa sababu anamuangalia sana.
3. Kushindwa kumpa kadi nyekundu Mchezaji Ross Barkley wa Everton kwa Rafu mbaya aliyomchezea Jordan Henderson wa Liverpool mnamo tarehe 19 december mwaka jana.
Sasa Mike Dean ametupwa huko Mchangani na mechi yake ya kwanza kuchezesha ni jumamosi (Barnsley vs Bolton).
0 maoni:
Chapisha Maoni