Pages

Jumapili, 8 Januari 2017

FULL RATIBA TOUR YA ALIKIBA, MAREKANI NA ULAYA

 mr kiherehere
 Image result for ALIKIBA TOUR
Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, Alikiba ametangaza ratiba ya tour nyingine ya Marekani na Ulaya.

Mkali huyo kwa upande wa Marekani atatumbuiza katika miji ya Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza March 4 hadi April.

Baada ya  kutangaza  ratiba  ya  Marekani  muda  mfupi  tena baadae  akatangaza  ratiba  nyingine kwenye ukurasa wake wa Instagram. 

Hapa nimekuwekea ratiba  ya tour atakazofanya kwenye bara la Ulaya ambapo ataanza na Ufaransa, Germany, Belgium, Switzerland, Sweden na Amsterdam kuanzia June mpaka July 2017

alikiba-45

0 maoni:

Chapisha Maoni