Pages

Jumapili, 8 Januari 2017

VIDEO MEXICO CITY: TAZAMA JINSI MUANDAMANAJI ALIVOENDESHA GARI NA KUWAGONGA ASKARI WA KUZUIA GHASIA

 
MEXICO CITY —Maandamano yamezidi kushika  kasi  nchini  mexico baada ya  kupandishwa  bei ya mafuta  kwa asilimia 20 kitu ambacho kimewafanya  watu wengi  katika  miji  mbalimbali kuingia mtaani  na  kupinga  ongezeko hilo la  bei.
Image: Mexicans protest against the rise of fuels' prices
katika  maandamano  hayo jumamos  muandamanaji  mmoja  aliendesha  gari  kwa  kasi  aina  ya  pickup na kwenda  kuwagonga  askari  waliokuwa wakizuia  ghasia  katika  eneo Baja California.
Msemaji wa jeshi la Polisi amesema  hakuna  askari  alie  fariki  ila  baadhi  ya maafisa  wamejeruhiwa katka  tukio hilo lilitokea karibu na mpaka  jiji la Tijuana.
Image: Protestors demonstrate against an increase in the price of petrol in Mexico
video hii  chini  inaonesha  jinsi  gari  hiyo pickup ndogo ilivyokuwa ikiendeshwa  kwa kasi kuelekea  usawa walipo askari  na kuwagonga.

0 maoni:

Chapisha Maoni