mwaka uliopita haukuisha vizuri kwa Kanye West , Last March,aliahid kuachia albam tatu lakini tuliona project moja tu kutoka kwa Boss huyo wa G.O.O.D. Music.
Kanye Alijikututa yupo hospital baada kujilazimisha kufanya kazi bia kupumzika katika Tour zake 86 za Saint Pablo .
Lakini 2017 ni mwaka mpya na wenye fusa nyingi. baada ya kupata mapumziko ya kutosha , kuwa tayari Yeezy anaweza akadondosha new tunes.
Maana tangu atoke hospital amani ilipatikana kidogo tu tuliposikia verse katika kazi ya shemeji yake Tyga“Feel Me.”
Inawezekana ‘Yeezy akawa anadaa surpris kwa mashabiki wake tena sio moja tuu ni zaid ya surprise .
“Kanye anakuja na surprise projects ikiwa ni muziki na concerts katika majira ya spring and summer. akijumuisha na kazi zake za fashion line na collaborations,” chazo cha habari kiliiambia mtandao wa E! News.
Baada ya kufuta ile tour yake ya Saint Pablo nakubakiza baadhi ya miji U.S.,pia alifuta ile ya Ulaya mwezi December.
Sasa West yupo tayari kuludi tena . “Kanye wants to finish the tour. He loves his show,” chanzo cha habari . “He wants everyone in the world to see it.”
0 maoni:
Chapisha Maoni