Pages

Jumapili, 29 Januari 2017

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA 29.1.2017, ARSENAL KUMSAJILI GRIEZMANN? FAHAMU HAPA, NA TETESI NYINGINE

  • Ikiwa Arsenal mpaka sasa hawaelewei Mustakabali wa Alex Sanchez, Imeandikwa Daily Mirror kuwa Aarsenal wametenga Pauni milioni 85 ili kumsajili Antonie Griezmann, Griezmann mpaka sasa anatakwa na Manchester United, Na Inter Milan nao wameonyesha 
  • Manchester United wako tayari kukaa kwenye meza na Timu za China zinazomwitaji Wayne Rooney kwaajili ya Mazungumzo ya Usajili.
  • Chelsea wako katika michakato wa kutafuta kipa ila bado hawajapata kipa hasa wa kumsaini darajani 
    Related image
  • Dimitri Payet sasa huenda akatimkia zake Marseille ya Ufaransa baada ya mazungumzo binafsi kwenda sawa ( Sunday Express)
  • Boss wa Chelsea Antonio Conte anawataka Sead Kolasinac wa Schalkes na Alvaro Morata wa Real Madrid lakini anapata upinzani mkubwa kutoka kwa Juventus (Daily Star)
by Alex Mwenda

0 maoni:

Chapisha Maoni