Pages

Jumapili, 29 Januari 2017

STORY YA BINTI WA MIAKA 29 ALIYEOLEWA NA MZEE WA MIAKA 92 KISA MKWANJA..

Na Alex Mwenda
Ni Charity Mumba binti mwenye miaka 29 raia wa Zambia amefunga ndoa na mzee mwenye miaka 92 tokea Afrika Kusini.

Binti huyo mdau wetu wa www.kwataunit.com alitoka kwao Zambia akienda Afrika Kusini huku akisema anaenda kutafuta Utajiri kwa namna yeyote.


Kabla ya kukutana na mzee huyo aliyetaka kufunga naye ndoa, Unaambiwa mzee huyo Peter Grooves ni mfanyabiashara mwenye mkwanja mrefu sana.

0 maoni:

Chapisha Maoni