mr-kiherehere
Hii inakuja baada ya Tiny kudai taraka kutoka kwa mpenzi wake T.I. Kupitia livestream, alisikika akisema T.I. anahitaji kuludi kwa Tiny.
“[I don’t] need to go back to T.I., he need to come back to me, baby,” Tiny alisema . “He need to come on back to me. I’m where I’m ‘posed to be at.” aliongeza
T.I. na Tiny wamekutana karibu karibu mara mbili tangu lilipopelekwa jarada la barua ya kudai taraka.
kwa mujibu wa TMZ inadaiwa T.I. alionekana nyumbani kwa Tiny katika kipindi cha Christmas.
Ishu kubwa kwa couple hii ambayO ilifunga ndoa tangu mwaka 2010 na kupata watoto watatu, ni tetesi za kuchepuka njee ya ndoa kwa wote wawili.
0 maoni:
Chapisha Maoni