Pages

Jumamosi, 11 Februari 2017

Hili ndiyo jina la Album mpya ya Dj Khaled

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutangaza jina la Album yake mpya Rapa Dj Khaled ameamua kutangaza jina la Album hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na Mashabiki.

Dj Khaled kupitia ukurasa wake wa Instagram ametaja jina la Album yake kuwa ni ‘GRATEFUL’ kwa kuandika  “Fan luv #GRATEFUL for your luv ! So I named my new album #GRATEFUL 🙏🏽🔑🙏🏽”

 Image result for dj khaled
Hata hivyo Baba Asahd hajasema ni lini tarehe ya Album hiyo kutoka,lakini amewaahidi mashabiki wake kuwa wawe na Subira kwani Album hiyo itakuwa ni Moto wa kuotea mbali.

0 maoni:

Chapisha Maoni