Pages

Alhamisi, 23 Februari 2017

JUX AMSIFIA SHEMEJI YAKE ANAJUA ZAIDI YA VANESSA.

Siku ya leo Msanii Jux akipiga Story ktk kipindi cha XXL cha radio Clouds amejikuta akimsimfia mdogo wake na Vanessa mdee aitwaye Mimi Mars kuwa ni mkali wa kuimba kuliko demu wake akinukuliwa na Mtandao wa Perfect225.Com, African Boy aliskika akichezesha taya na kumsfia shemeji yake kuwa ni mkali zaidi ya babe Mama wake Cash madam Vanessa mdee.
“Kabla sijamuona @Namshalii dada yake tayari alishanitambulisha then nikaja gundua anaimba kuliko @VanessaMdee kuwa anaweza @africanboyJUX”  huyo aliungwa mkono na Mwamba wa kaskazini Joh Makini kuwa Mimi Mars ni mkali zaidi ya Vee embu tuone.
Image result for jux

0 maoni:

Chapisha Maoni