Billboard
Wasanii hao ni kutoka sehemu zote duniani na kupitia list hiyo, Tekno ndiye msanii pekee kutoka Afrika aliyetajwa kuwemo kati ya wasanii 10 wa kuwaangalia zaidi mwaka 2017 na wote wanafanya muziki wa Hip-Hop na R&B.
jarida la Billboard pia limethibitisha deal iliyosainiwa kati ya Tekno na kampuni kubwa ya kusambaza muziki duniani “Sony Music” ambapo yeye atakuwa chini studio za Columbia Records.
Billboard wameandika:
“Tekno
tayari ana hits kali nchini kwake Nigeria, na Columbia Records
wanafahamu hilo, huyu ni msanii mzuri, na ana sauti yenye kuvutia kila
mara. Mfano wimbo wake bora zaidi “Pana,” ambao umeshatazama zaidi ya
mara milioni 13 kupitia YouTube na wasanii wengine wakaifanyia remix
mara nyingi.”
Sio
rahisi kumzuia muimbaji huyu kuingia kwenye mainstream kwa jinsi wimbo
wake unavyovuta hisia: jaribu kufumba tu macho halafu msimamizi wa
vipindi vya radio ambaye yuko smart aukate wimbo wa Drake “Too Good”
halafu aipige Pana.”
Billboard
1.Kehlani2. Aminé
3. YFN Lucci
4. Leela James
5. Kodie Shane
6. Princess Nokia
7. Guordan Banks
8. Tekno
9. Khalid
10. H.E.R.
0 maoni:
Chapisha Maoni