Serena Williams ametumia mtandao wa kijamii wa Reddit kutangaza kuwa
amechumbiwa na mwanzilishi mwenza wa mtandao huo, Alexis Ohanian.
Tangazo la staa huyo wa tennis limetengenezwa kwa mfumo wa shairi.
Amesema Ohanian alimpeleka Rome ambako walikutana kwa mara ya kwanza kumchumbia na Selena akasema ‘Yes.’
Selena mwenye utajiri wa dola milioni 150 kwa sasa ni mchezaji namba 2
wa tennis duniani. Amewahi kushika namba 1 mara sita kwa nyakati
tofauti.
0 maoni:
Chapisha Maoni