Mrembo Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown anamsaka kweli . Sijui kwanini lakini kumbukumbu ni kwamba wawili hao walikuwa wapenzi then wakaachana,
lakini bado tunaona Chriss amekuwa akifuatilia kwa karibu
mrembo huyo pia amekuwa akiwa kuwamind wajanja wanaommendea Karrueche.
Mrembo huyo amenyanyua hisia za chriss ambaye ni x boy wake baada ya kupost picha yenye capition "BABY" na inanesha licha ya kuachana na hitmaker huyo wa 'party' Karrueche ananesha bado yupo single...
Kwenye picha hiyo, mrembo huyo anaonekana amevaa t-shirt nyeusi yenye
picha za muimbaji wa UK, Sade na pia akiwa amevaa nguo ya ndani pekee
yenye rangi nyekundu.
Macho ya Breezy yalivutiwa na alichokiona na kujikuta akicomment: Still want it.”
kitu ambachokinaonesha Chris bado anammendea mrembo huyo.
picha bado inaendelea Jeh Chriss Atafanikiwa kuvua samaki huyo???
0 maoni:
Chapisha Maoni