Muonekano mpya wa nywele za Kanye West umeleta mada kwa baadhi ya mashabiki katika mitandao ya kijamii huku wengine wakimtania .
Mkali huyo ameonekana baadhi ya mitaa akiwa ameongezea rangi ya pink katika nywele za kichwa chake muonekano ambao umemfanya aonekane wa tofauti kwa baadhi ya watu.
Kanye amekuwa akiwa kwenye vichwa vya habari katika mitandao tangu apatwe na mkasa wa kulazwa hspita kwa wiki takribani mbili.
0 maoni:
Chapisha Maoni