Mr kiherer anautafiti wake wa kizushi kwa siku ya jana ya december 25 siku ya krismass utafiti umeonesha watu wengi wametafuta wenzi wao walipo kupitia google.
haya ndio maneno yaliyotafutwa sana kwa siku ya jana
5.kiwanja gani kinafaa kwa sikukuu
4.bei ya vinywa kwa sasa
3.gest nzuri hapa mjin
2.jinsi ya kuchepuka siku ya krismass
1.mume/mke wangu yuko bar gani
0 maoni:
Chapisha Maoni