Pages

Alhamisi, 29 Desemba 2016

KALI ONGALLA SASA KUCHUKUA TIMU YA AZAM FC

Baada ya benchi zima la ufundi la klabu hiyo kutimuliwa sasa Ongalla kukiongoza kikosi hicho, akishirikiana na makocha wa vijana wa timu hiyo. Ongalla ambae awali alikuwa akiifundisha Majimaji na amekuwa kipenzi cha mashabiki wa timu hiyo pamoja na wachezaji.


0 maoni:

Chapisha Maoni