Licha ya maneno yalioanza kusikika kati ya Drake na J.Lo wamesema wenyewe ni marafiki tuu na wanafanaya kazi pamoja "kutengeneza muziki mzuri" .
Lakini kwasasa kupitia picha ambazo walipost kilammoja kwenye akaunti yake ya instagram, inaonesha kuthibitisha wawili hao wapo pamja .
While I’m not completely sure if they are dating, I am not opposed to the idea. I LOVE Jennifer Lopez and I love Drake, so I think the two of them make a very cute couple. However, they could simply be adding fuel to the fire, which works VERY well these days.
Kupitia picha hizo kumefanya Rihanna aweze kuziamini habari hizo, na kuamua kumu unfollow Jennifer kwenye Instagram.
Wawili hawa mwaka uliopita walikuwa mastaa katika filamu ya HOME ambapo Jennifer alicheza kama mama wa Rihanna.
Na mapema mwaka huu Rihanna alimpa zawadi Jennifer pea ya viatu ambavyo Jennifer mapema akaamua kuvivaa katika video ya wimbo wake wa Ain’t Your Mama :
0 maoni:
Chapisha Maoni