NA Mr kiherehere
Inapendeza kuwashirikisha habari njema kwa wapenzi na mashabiki wa P!nk! ambaye ni mtunzi na mwimbaji ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili na mmewake Carey Hart, mtoto anaitwa Jameson Moon Hart!
P!nk, amejifungua jumatatu , December 26, na akashirikisha ulimwengu kupitia mtandao wa instagram yake;
wawili hawa wapo pamja tangu mwaka 2010 walizaa mtoto moja Willow ambae ni wakike mwenye umli wa miaka 5 na sasa wamepata mwingine wa kiume wakuitwa Jameson :
“My dad’s name is James, and my brother’s name is Jason. [Carey
and I] are both Irish, Carey’s middle name is Jason, and Jameson—we like
whiskey. That’s a no brainer.”
0 maoni:
Chapisha Maoni