Rapa na muimbaji aliyepata kushine kwenye game ya BongoFlava akiwa na
kundi la Wakali Kwanza miaka kadhaa iliyopita na leo Anatushirikisha video
yake mpya “Only You”.
Audio imefanywa ndani ya studio za MJ Records chini ya producer Beef Chali ambaye ni mdogo wa Marco Chali, ambaye
naye amehusika kwenye kuifanyia mixing na mastering single hiyo na kwa
upande wa video imefanywa na director Rich Cashx.
TUITIZAME HAPA
0 maoni:
Chapisha Maoni