Pages

Jumapili, 1 Januari 2017

BUKOBA ;RAIS MAGUFULI AMUUNGA MKONO WAZIRI WA NISHATI NA MADINI .

Rais Magufuli amempongeza waziri  wa  nishati  na  madini  kwa kutengua  upandishaji  wa bei  umeme  uliokuwa umefanyw  na EWURA.

 Image result for magufuli 2017
Rais ameyasema  hayo aliposhiriki  misa  ya kufungua  mwaka  2017 katiaka  kanisa  kuu katoliki mjini Bukoba.

0 maoni:

Chapisha Maoni