Pages

Jumanne, 3 Januari 2017

CHELSEA HAWA HAPA KABLA YA MECHI YAO YA KWANZA MWAKA 2017 KESHO

Na Alex Mwenda
Vinara wa Ligi Kuu England, Chelsea kesho wanashuka dimbani kuwavaa Tottenham Hotspurs. Itakuwa ni mechi yao ya kwanza mwaka 2017.

Vinara hao wana mechi ngumu kweli mbele yao lakini wamefanya maandalizi ya kutosha na wako tayari.
 
 

MATOKEO YAO
October 1: Hull 0-2 CHELSEA
October 15: CHELSEA 3-0 Leicester
October 23: CHELSEA 4-0 Manchester United
October 30: Southampton 0-2 CHELSEA
November 5: CHELSEA 5-0 Everton
November 20: Middlesbrough 0-1 CHELSEA
November 26: CHELSEA 2-1 Tottenham
December 3: Manchester City 1-3 CHELSEA
December 11: CHELSEA 1-0 West Brom
December 14: Sunderland 0-1 CHELSEA
December 17: Crystal Palace 0-1 CHELSEA
December 26: CHELSEA 3-0 Bournemouth
December 31: CHELSEA 4-2 Stoke

0 maoni:

Chapisha Maoni