Mwaka 2016 umeisha tukiwa na mtazamo mpya wa Tanzania tokana na aina
mpya ya utawala. Kuna waliofanikiwa na cha kujivunia kwa mwaka 2016 na
kuna waliopoteza matumaini na kisha kulaumu waliowazunguka kama ndio
chanzo kwa kufeli kwao.
Kulalamika ni chanzo cha kuifunga akili yako juu ya mafanikio. Umeumbwa
kupambana, ukilaumu umri hausubiri. Relax, take it easy, don't copy and
paste, don imitate plz, be creative tokana na mazingira yako,
utafanikiwa.
Usikubali mwaka 2017 ukaisha huku ukilalamika huku wenzako wakifanikiwa,
kufanikiwa is just a spirit and not imagination. Jiamini na focus
unataka kufanya nini mwakani. Have a vision and how you will accomplish
your target.
Orodhesha malengo yako katika karatasi, yasiwe mengi mpaka
yakakuchanganya. yapangie muda ya kuyatekeleza na kisha angalia ulifeli
wapi. Lazma upambane ili uwe wewe.
Nakutakia kheri ya mwaka mpya, wenye mabadiliko chanya. Thubutu, jiamini, weka malengo chanya.
Karibu 2017.
0 maoni:
Chapisha Maoni