Katika mkesha wa kusubiri mwaka mpya 2017, hakika Mariah Carey anaweza akawa ameweka kumbukumbu kubwa kwake na mashabiki .
Mariah aliwaburudisha mashabiki wake jukwaan licha ya show kutawaliwa na vituko vingi alivyo vifanya ikiwemo kukatisha show na kuanza kutembea tembea jukwaani, TAZAMA MWENYEWE HAPA
0 maoni:
Chapisha Maoni