Na Alex Mwenda Bi
Ndugu mdau wetu wa Kwata Unit Blog Kwenye Gym Hii watu ambao Huingia ni wenye Umri kati ya miaka 33 mpaka 70 na ni mke na mume.(Wapenzi / wanandoa)
Akiongea moja kati ya sababu za yeye (Helen Smith) Kuanzisha Gym ya aina hiyo amesema husaidia wafanya mazoezi kuona vizuri kila anachokifanya mwongoza mazoezi (Instructor), Na hivyo kusaidia kufanya kile kinachotakiwa kufanywa.
Vipi mdau wetu wa GIMMIE CHURC BOY ikitokea kibongo bongo napo ikatokea utakubali kwenda na mpenzi wako kwenye Gym Kama Hii? Like Page yetu ya Facebook upate uhondo kama huu kila siku > Bonyeza Hapa <








0 maoni:
Chapisha Maoni