Jennifer Lopez and Drake ni kweli wamefanya collaboration, mshindi wa tuzo za People’s Choice amethibitisha (January 19).
Lopez aliitisha mkutano na waandishi wa habari ndipo Ray Liotta muandishi kutoka NBC akapata nafasi ya kuuliza kuhusu mahusiano yake na rapper Drake baada kusambaa sana kwa picha ambazo zinaonesha wawili hao wapo kwenye mahusiano .
Lakini pia Lopez aliulizwa kama wamefanya kazi ya pamoja maana mwakajana mwisho wawili hao walipost video fupi katika ukurasa wa twitter wakionekana katika party ya “Winter Wonderland Prom” wakicheza kimahaba huku promo ya wimbo classic Drake ikisikika.
“Does that mean you guys are doing music together?” aliuliza Ray Liotta .
“We are — well, we did! We did one song together,” Lopez Alijibu, akaongeza, “I don’t know if we will do more, we’ll see.”
by Mr kiherehere
0 maoni:
Chapisha Maoni