Wakazi amtaja msanii wa kike ambaye anamkubali kwa juhudi zake.
Mtikila ni Mixtape yake ambayo ilitoka mwaka 2016 na kuweza kuwa bora katika vilinge vyote vya hiphop ndani ya nchi na nje pia.

Wakazi ni moja kati ya wasanii wenye ujazo wa mambo mengi mno. Licha ya kufaya muziki wa hphop ila pia amekuwa akitumika na wasanii katika kuwaandikia ‘Biography’ zao, pia hata kuandika muongozo wa video.
Mapema leo kupitia mtandao wa Twitter msanii Wakazi ameandika “Moja ya wasanii wa kike ambao nawakubali sana kwa juhudi zako na heshima ya Kazi zao ni Dayna Nyange… God bless your hustle”.
0 maoni:
Chapisha Maoni