Baada ya kusambaa kwa picha na video tofauti za rapper Chidi Benzi akiwa amerudi katika hai yake ya matatizo aiyokuwanayo mwanzo, Madee ameonesha kutokubaliana na watu wanaofanya shughuli ya kupiga picha nakutuma katika mitandao..
kupitia mtandao wa twitter Madee ameandika "hawa wanaompiga picha Chidi Benzi na kuposti katika mitandao yao lengo lao ni nini? mbona tunamdhiisha? au mnataka kiki?".
Madee ameonesha kukerwa sana na mambo ambayo baadhi ya watu wanaofanya hivyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni