Pages

Alhamisi, 29 Desemba 2016

VIDEO; TAZAMA TREY SONGZ ALIVYOZIMIWA MIC KAMA ALIKIBA

Image result for TREY SONGZ
Trey Songz yamemkuta mambo ndindi stejini huko Detroit kwenye show ya Channel 955 & FM 98 WJLB’s Big Show at the Joe, baada ya kuzidisha muda wa kuperforme jukwaani na kusababisha kuzimiwa Mic, Sasa mambo yalianza wakati anajigamba pindi alipoambiwa kuwa atazimiwa Mic yake, kama akiendela kuzidisha muda, na mwisho wa siku Mic ikazimwa vurugu mechi ikaanza.

“Eti wanasema watazima Mic yangu! kisa nimetumia muda mwingi, nachotaka kuwafahimisha detroit, wa hapa mbele, mwisho huko, kushoto, kulia..kama ikitokea wakafanya,..nawapenda sana bila kujali chochote..kikubwa nachotaka kufanya ni kuwapa show bora….basi kama wakikata lazima niwaletee uchizi..Zimeni sasa! Zimeni Mic yenu..”Alisema Trey Songz.


 Baada ya tukio hilo inadaiwa Trey aneshikiliwa na Polisi

0 maoni:

Chapisha Maoni