Pages

Jumatatu, 2 Januari 2017

VIDEO: ASADIKIWA KUMUUA BABA YAKE NA KUMZIKA KIMYA KIMYA


Image result for AMUUA BABA YAKE
Kijana anayejulikana kwa jiana la PATRICK MALINDISA mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa NAMANYIGU kata ya mshangano Manispaa ya Songea mkoani RUVUMA,anashikiliwa na jeshi kwa kusadikiwa kumuua baba yake mzazi anitwaye ATANASI MALINDISA.
TAZAMA  HAPA 

0 maoni:

Chapisha Maoni