Pages

Jumatatu, 2 Januari 2017

AUDIO: Chris Brown AMEACHIA KALI NYINGINE HII "Dat Night" AKIWA Trey Songz & Young Thug

Nyota ikiwa  bado ina ng'aa ya 2017 , wakali wengi wameanza kuachia  ngoma kama  hiki kilicho fanyika  baada  ya usiku wa shangwe. Tyga na Kanye West wameachia  ngoma “Feel Me.” kutoka GOOD MUSIC.
Na sasa , baada ya kuperform  Chicago wakiwa  pamoja, Chris Brown,  Trey Songz na Young Thug wameachia  kitu “Dat Night.”
Hii imekuja  baada ya  “Party” ambayo Chriss  aliwashilikisha Usher na Gucci Mane,......
 Breezy’s latest taste of Heartbreak On A Full Moon finds Breezy, Trigga (who is also ringing in the year with his and Fabolous’ Trappy New Years mixtape) and Thugger boasting about the abundance of women that frequent their nightly festivities. 
No matter the city, no matter the time, they’ve got “b*tches with the shit” on deck. 

0 maoni:

Chapisha Maoni